[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji106]Hahahahaha mkuu hilo ni jina tu hahahahaha
Mwanzoni nilikuwa namuunga mkono sana malaika ila baadaye alipoanza kukandamiza upinzani na Kufuta bunge live nikachenji, sasa nataka kubadili niwe mlipa kodi[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji106]
Bila shaka kuna wazo lilikusukuma kufanya hivyo...hebu sema kilichokusukuma kutoka na ID hiyo mkuu
Lipa ndg yanguMwanzoni nilikuwa namuunga mkono sana malaika ila baadaye alipoanza kukandamiza upinzani na Kufuta bunge live nikachenji, sasa nataka kubadili niwe mlipa kodi
Si umeishabadili tayariMwanzoni nilikuwa namuunga mkono sana malaika ila baadaye alipoanza kukandamiza upinzani na Kufuta bunge live nikachenji, sasa nataka kubadili niwe mlipa kodi
Kama jiwe, baadaye kanadai tenaMkuu nimekula Nyama choma na ugali, nimeshiba mpaka katumbo kamekuwa kagumu
Imebaki nafasi ya bia baadayeKama jiwe, baadaye kanadai tena
ha ha ha....“kudate na videmu vilivyozoea kutoka na mibaba kazi sana, Leo kidemu kimejisahau kimemtext”
BABY USISAHAU KUMEZA DAWA ZA PRESSURE
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji12] [emoji12] kunasiku ilinitisha me mwenyewe[emoji23] [emoji23] nimeona bora niitoe
Taaluma ya kuvua ngadu uongoTuheshimiane
Mi nina taaluma yangu usinipakazie ualimu
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji125] [emoji125] [emoji125]
.............
Nipoooooo wewe je?Upo wewe cwtp[emoji15] [emoji15]
Sanaaaa[emoji23][emoji23][emoji23] japo sio yeyeMwenyewe kapendaza kweli
Mp- Mpika pombe etcMP inamaana nyingi sana
Hata mimi nilifikiri hivyo!![emoji23][emoji23][emoji23]Mkuu nilifikiri umerusha picha harusi!!!
Vp lkn
Amen....[emoji120][emoji120]
Asante sana kwa kuninyima kadi nije niwakilishe...kula pilau.....hahaha, poa. Za humu kf?
Usalama fresh kabisaUsalama ulipatikana kweli!?
Thanks![emoji120][emoji120]View attachment 403356View attachment 403357
Naitwa Jimena Jimenes na nakusanya kila kilicho changu ili niweze kumpisha Mussolin5 aje kutupa Leo katika historia orijino
Kwa udhamini wake briz nawatakia siku njema
Ciao
Helo WerraaNawasalimuni familia.
Atakuwa busy tuKweli ameadimika sana
Za jioni JiraniNiko poa kabisa