Makapuku Forum

Mkuu unajua kugive up jambo flani hapa jf haina maana kwamba umeshidwa ama umeshinda,...lakini utakuwa umeonesha dalili za udhaifu....kukubali kunyamazishwa na tambwe za watu wachache ni jambo la hatari sana! hasa kama hiyo spirit ya kugwaya hao ma bullers itaendelea hadi kwenye maisha ya kawaida.

Maadam unafuata sheria zote za jf, nadhani upo huru kutoa mawazo yako bila kujali aina ya jukwaa ulilozoea....kuna watu watakuja kukukashifu kuona kama utatokwa povu, watu wa hivyo ni kuwapotezea tu kinyume na hapo ni ban....hamna member mwenye haki ya kuamua ni mada ya nani ina maana zaidi ya nyingine, tofauti na hapo ni cyber bulling.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…