Kutatiza inakutatiza wewe tuMaana ya Chit-chat ni kuongea/kuandika mambo yasiyo na maana/yasiyo muhimu....ila hii thread ya Makapuku inatatiza kidogo....maana inaonekana kama sub-forum ya Chit-chat.
Hakuna kigezo isipokuwa wahanga wakubwa ni wale waliojiunga from 2014 Hao ndo wanadharaurika sanaYeah! ni kweli, kila sehemu kuna matabaka....na nimewahi kusikia kuna wakongwe na maunderground wa JF....ni kigezo kipi kilitumika kuweka hizo tabaka? naamanisha wakongwe ni wakina nani? ni waliojiunga kwanzia 2008, 2009, 2011/12 back to 2006? au
Kitu kunitatiza mimi haimaanishi kwamba ni kibaya, japo jambo laweza kuwa zuri bado linaweza kutatiza watu lisipoelezewa vizuri.Kutatiza inakutatiza wewe tu
Ingekuwa inatatiza (utata) Moderator wangeifuta
Kuongea au thread kuwepo Chitchat haimaainishi kitu hakuna la maana
Km chitchat ni jukwaa la vitu vya ovyo basi sisi ndo linatufaa
Tushasema ni thread siyo sub forum na km vipi mwambie mod afute neno "Forum" isomeke "thread" ili mridhike(Mod wenyewe wanatukubali)
..................
Hapa ndio nilitaka kupasikia, binafsi kwenye kuchangia katika nyuzi mbali mbali nimewahi kuitwa ki.laza na hata leo nimeitwa DIVISION 5.Sijajua huyo mtu alitumia kigezo kipi kuniita hivyo maana michango yangu ilikuwa mizuri tu.Hakuna kigezo isipokuwa wahanga wakubwa ni wale waliojiunga from 2014 Hao ndo wanadharaurika sana
Huku wakongwe wengi vichwa mabox wanapenda kumjudge kwa kuangalia profile lake kajiunga lini
Halafu wamekariri kila member mpya ni "dogo" na wana tabia za kibaguzi kwa kupenda "kupaishana" kwenye thread zao wakati hawana ubora(wapo baadhi nawakubali) .....wakumbuke wakati wao wanajiunga JF hapakuwa na smartphone ndio maana walitamba bila ushindani
.........
Neno MAKAPUKU limetokana na mkongwe fulani hivi wakati nilipoanzisha thread fulani hapa chitchat iliyohusu swaga sasa akaja kwa matusi na kutukana "nyie maskini hamna kazi ni vikapuku tu humu" akifikiri ingetuuma kumbe ndo anajifanya tumdharau......Kitu kunitatiza mimi haimaanishi kwamba ni kibaya, japo jambo laweza kuwa zuri bado linaweza kutatiza watu lisipoelezewa vizuri.
Vile vile kuna nyuzi zipo Chit-chat na zina maana...zenye umuhimu kinyume na jina la forum linavyoeleza.
Ukakasi wangu upo kwenye jina la uzi ''MAKAPUKU'' kwa nini uzi uitwe makapuku?
Mwanzoni niliambiwa kwamba lengo la MAKAPUKU ni kuunganisha watu wanaokuwa bulled na cyber buller, hao CYBER BULLERS ni kina nani?
Wakongwe wanaongoza kwa kupost upupu tu sema wanapeana sapoti ya kufa mtuHapa ndio nilitaka kupasikia, binafsi kwenye kuchangia katika nyuzi mbali mbali nimewahi kuitwa ki.laza na hata leo nimeitwa DIVISION 5.Sijajua huyo mtu alitumia kigezo kipi kuniita hivyo maana michango yangu ilikuwa mizuri tu.
Pia kuna kitu nimegundua hapa JF, uzi ukianzishwa na wakongwe unakuwa na wachangiaji wengi sana, kama ni wa new comer basi awe KE ndipo atakapo pata michango ya forum.
Kweli jiwe walilolikataa waashi limekuwa jiwe la msingi wa nyumba....Sawa mkuu nimekuelewa na shukrani sana kwa kunielewesha....@QUIGLEY shukrani mkuu kwa kujitolea kunielewesha,...nimewahi kuwa bulled sana hata leo imetokea kuitwa DIVISION 5....nami naunga mkono MAKAPUKU.Neno MAKAPUKU limetokana na mkongwe fulani hivi wakati nilipoanzisha thread fulani hapa chitchat iliyohusu swaga sasa akaja kwa matusi na kutukana "nyie maskini hamna kazi ni vikapuku tu humu" akifikiri ingetuuma kumbe ndo anajifanya tumdharau......
Kuanzia hapo nikalizoea na kulipenda hilo neno nikaamua kuligeuza kuwa neno lenye THAMANI
Kwahiyo huyo mkongwe ni mfano wa cyberbuller
......................
Usijali mwanaKweli jiwe walilolikataa waashi limekuwa jiwe la msingi wa nyumba....Sawa mkuu nimekuelewa na shukrani sana kwa kunielewesha....@QUIGLEY shukrani mkuu kwa kujitolea kunielewesha,...nimewahi kuwa bulled sana hata leo imetokea kuitwa DIVISION 5....nami naunga mkono MAKAPUKU.
Ndio ujue akili ya midume ya jf, yanaponda wanaume na kutukuza wauza kHapa ndio nilitaka kupasikia, binafsi kwenye kuchangia katika nyuzi mbali mbali nimewahi kuitwa ki.laza na hata leo nimeitwa DIVISION 5.Sijajua huyo mtu alitumia kigezo kipi kuniita hivyo maana michango yangu ilikuwa mizuri tu.
Pia kuna kitu nimegundua hapa JF, uzi ukianzishwa na wakongwe unakuwa na wachangiaji wengi sana, kama ni wa new comer basi awe KE ndipo atakapo pata michango ya forum.
Umenifurahisha kwa kutumia neno (why) kila wakati. Hili neno huwa lina matokeo chanya kwani huleta ufahamu sahihi juu ya jambo kusudiwa, nimependa udadisi wakoKweli jiwe walilolikataa waashi limekuwa jiwe la msingi wa nyumba....Sawa mkuu nimekuelewa na shukrani sana kwa kunielewesha....@QUIGLEY shukrani mkuu kwa kujitolea kunielewesha,...nimewahi kuwa bulled sana hata leo imetokea kuitwa DIVISION 5....nami naunga mkono MAKAPUKU.
Hapa ndio nilitaka kupasikia, binafsi kwenye kuchangia katika nyuzi mbali mbali nimewahi kuitwa ki.laza na hata leo nimeitwa DIVISION 5.Sijajua huyo mtu alitumia kigezo kipi kuniita hivyo maana michango yangu ilikuwa mizuri tu.
Pia kuna kitu nimegundua hapa JF, uzi ukianzishwa na wakongwe unakuwa na wachangiaji wengi sana, kama ni wa new comer basi awe KE ndipo atakapo pata michango ya forum.
Nipo bossWe mzembe upo?
...............

Kitu kunitatiza mimi haimaanishi kwamba ni kibaya, japo jambo laweza kuwa zuri bado linaweza kutatiza watu lisipoelezewa vizuri.
Vile vile kuna nyuzi zipo Chit-chat na zina maana...zenye umuhimu kinyume na jina la forum linavyoeleza.
Ukakasi wangu upo kwenye jina la uzi ''MAKAPUKU'' kwa nini uzi uitwe makapuku?
Mwanzoni niliambiwa kwamba lengo la MAKAPUKU ni kuunganisha watu wanaokuwa bulled na cyber buller, hao CYBER BULLERS ni kina nani?
Nyuma nyuma sikumbuki page ya ngapiIkwapi shemela
Weka toilet.. Kile kina nguvu zaid..Nmeunganisha na zizi LA ng'ombe
Umeanza nongwa..Sawa mwanaharakati
Hata mimi kwa udadisi nimemkubaliUmenifurahisha kwa kutumia neno (why) kila wakati. Hili neno huwa lina matokeo chanya kwani huleta ufahamu sahihi juu ya jambo kusudiwa, nimependa udadisi wako