Ila pamoja na kuwa siipendi Yanga, Ila Yanga ya Mwaka 1993 pale Kampala, Uganda katika Michuano ya Vilabu vya Afrika Mashariki na Kati ( CECAFA ) ilitikisa na ikawa gumzo.
Ilikuwa na Kenneth Mkapa, Said Nassoro Mwamba " Kizota ", Silvanus Ibrahim " Polisi " , Edibily Jonas Lunyamila ambaye aliliteka Jiji la Kampala na Vitongoji vyake.