Makapuku Forum

NUKUU NO 4#

Vijana msisahau kuwa Lenin anasema "unahitaji uchambuzi thabiti wa mazingira halisi (you need a concrete analysis of concrete conditions)" hivyo basi kama Maks (Max) angezaliwa sumbawanga angeandika azimio la Arusha badala ya Das Kapital

Maneno haya yalisemwa na Mwalimu Julius Nyerere katika ukumbi wa Nkurumah wa chuo kikuu cha Dar es salaam (UDSM), miaka ya mwanzo baada ya kutangaza Azimio la Arusha
 
 
Nakumbuka Jamaa moja huko Marekani alibambikiwa kesi, alifungwa maisha akiwa kijana, kaja kutolewa akiwa mzee kabisa, na watu waliomsaidia kutoka ni wa haki za binadamu walikata rufaa na walipeleka ushahidi wa kesi yote

Na sasa serikali ya Marekani inatakiwa kumlipa fidia ya dola milioni mia mbili
 
Samtaimu pesa sio lolote
Washampotezea muda.
.........
 
Na wamlipe tu maana ndio sheria inavyosema...yani unakuta upande wa mlalamikaji unakuwa na power na unataka Justice....wao wanakuwa hawafahamu kama wewe ndiye mtenda kosa ama vipi ni mihemko ya hasira...sababu inakuwa tu labda ulistep up katika mazingira ya tukio au ulikuwa ni mtu wa karibu sana na marehemu, yani kesi zinaumiza kichwa sana....haswa "Murder Cases".
 
Asante Jirani
Now KF inaingia kwenye rekodi ya thread zenye MILLION VIEWS
JF nzima hazizidi hata thread 5
Halafu KF ndo imetumia muda mdogo zaidi

Zingine ni
*ArsayNO thread(kitambo sana)
*Chelsea thread(long time)
*Man Utd thread(miaka kibao)
*Wazee wenzangu wa kuweka mzigo/kubet(miaka kibao)
*African satellite world(kitambo sana) ina 2m views ndo kinara
......................
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…