GoodPigaaaaaaaaa stori hata masaa 10 mfululizo lakini akiingia mtu analeta kipindi chake UNAKAUSHA unachangia mada km huna point basi unawaacha wajuzi wakimaliza una endelea kupiga stori
VERY SIMPLE
....................
Kama mbuzi
[emoji121] Japo shabiki mstaafu, naitakia mema chelseaHabari zenu mabibi na mababu?
Badae kutakuwa na mechi kati ya Chelsea vs Liverpool
Hivyo nilikuwa naomba niwafahamu mashabiki wa Chelsea pamoja na wa Liverpool
Hivyo nngependa , maana nmewaandalia SAPRAIZI saa 22:00
ASANTENI.
[emoji41] [emoji41] [emoji41] [emoji41] [emoji41] [emoji41] [emoji41] [emoji41]
Sacajo mambo vipi!Kweli kabisa
Usiwaze mkuuHamna sio watu hawataki kuachia nafasi, unakuta uzi maybe una post 20 au zaidi mbele so mtu hawezijua kama umeingia coz anafukuza uzi that's what happened to me!!!
Bro musso!Usiwaze mkuu
Me mtibwaHabari zenu mabibi na mababu?
Badae kutakuwa na mechi kati ya Chelsea vs Liverpool
Hivyo nilikuwa naomba niwafahamu mashabiki wa Chelsea pamoja na wa Liverpool
Hivyo nngependa , maana nmewaandalia SAPRAIZI saa 22:00
ASANTENI.
[emoji41] [emoji41] [emoji41] [emoji41] [emoji41] [emoji41] [emoji41] [emoji41]
Kama kawa......vipi mjengoni wanasemaje???Sacajo mambo vipi!
Kama kawa......vipi mjengoni wanasemaje???Sacajo mambo vipi!
Mkuu huku poa tu, mjengoni ni bungeni au mjengoni nyumbani kwangu!Kama kawa......vipi mjengoni wanasemaje???
Kama kawa......vipi mjengoni wanasemaje???