Makapuku Forum

Hawa jamaa bana yani mi mwenyewe nimeiona hiyo 'wangu' hata siku-doubt chochote kwa kuwa hata mi huwa naitumia kwa ladies karibu wote humu.. Sasa i wonder leo we kuitumia kwa JJ imekua ni topic ya briz kupinduliwa
Hawa vijana, si nongwa, it seems hicho ndio wanachotamani kitokee.. Hapo nimesema wangu.. Ningetumja dear wangu, si ndio mibichwa yao ingesafir many miles..

Hawa wana tabia za Quigley kawarithisha
 
Bwahahahahahaaa
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…