shululu
JF-Expert Member
- Jan 26, 2015
- 28,137
- 109,911
Sacajo pole, naona una quote Mugabe"Hakuna tusi baya kama kuambiwa wewe ni pogba"by R.Mugabe
Sacajo pole, naona una quote Mugabe"Hakuna tusi baya kama kuambiwa wewe ni pogba"by R.Mugabe
Yes sirHello Quigley
Man UselessManfongo united walichotufanyia![]()
Poa kakaAje bob!?
Kalala mbeleAkikwambia nipige kidogo kidogo mpaka nife..![]()
![]()
Atakuwa amelala sasa hiviMwingine nani zaid yake yeye bichwa panzi..
Daah.....yaan hapa nawaonea huruma majirani zetuu......sijui yule ni pogba fakeSacajo pole, naona una quote Mugabe
Naona leo ulikuwa mafichoniYes sir
Itabidi wajibuDaah.....yaan hapa nawaonea huruma majirani zetuu......sijui yule ni pogba fake
Itakuwa wanaona aibuItabidi wajibu
Lazima.. We unadhani ana jeur ya kusema, kazi kuropoka ya wenzao... Ya kwao maneno uzito wa kontenaKalala mbele
Nawe piaUsiku mwema humu
Atakuwa amelala sasa hivi
aiyaa.. Leo kalala mapema basi kesho kwao watahangika kutoa godoro maskini..