NUKUU NO 1#
Amani hupatikana unapokubali kuketi meza moja ya adui yako unayemchukulia kuliko wote
Na hapo ndipo unapoweza kumtambua kiongozi aliye jasiri
Anapokubali kuketi na adui yake kwa majadiliano maana yake ni kwamba anajiamini - na hiyo ni sifa kubwa kwa kiongozi bora
Haya yalisemwa na mwanaharakati maarufu wa haki za binadamu, Askofu mkuu Desmond Tutu wa Africa kusini.
Alizaliwa huko Klerkdorp, Africa kusini October 7,1931
Mwaka 1978 aliteuliwa kuwa katibu mkuu wa baraza la makanisa ya Africa kusini
Mwaka 1985 aliteuliwa kuwa askofu wa kanisa la Anglican jimbo la Johannesburg na mwaka 1986 akawa askofu mkuu wa Capetown - mweusi wa kwanza Africa kusini kushika nafasi hiyo
NUKUU NO 2#
Nilianzisha mapambano ya kuikomboa Cuba nikiwa na wapiganaji 82.
Kama leo ningerudia kuanzisha mapambano hayo, ningelikuwa wapiganaji Kati ya 10na 15 tu lakini wenye imani kubwa
Katika harakati za kuleta mapinduzi, haijalishi mko wachache kiasi gani ilimradi wote mna imani kubwa na mnachotaka kukifanya
Maneno haya yatamkwa na Rais wa zamani wa Cuba, Fidel Castro.
Alizaliwa huko biran, Cuba Agosti 13,1926
Baada ya kuipindua serikali ya dikteta Batista mwaka 1959,Castro Aliiongoza serikali kama waziri mkuu.
Baadaye akawa Rais kuanzia mwaka 1976 hadi 2008 alipomuachia nafasi hiyo ndugu yake Raul kwa sababu ya kuzorota kwa afya yake
Mpaka sasa afya ya Castro haijatengemaa
Castro jembe langu!NUKUU NO 2#

Hello bbyNa roho tuu
NUKUU NO 3#
Ilikuwa ni diamond jubilee ambako aghakan alibadili jina langu kutoka Nurdin (maana yake mwanga wa dini) kuwa Al Noor (maana yake mwanga) tukiwa hapo aliendelea kuniita Noor, ndipo watu waliokuwepo wakamuuliza Noor ni nani? Akajibu ni Nurdin, lakini kuanzia Leo ataitwa Al Noor
Na kuanzia hapo nikajukana kama Al Noor na kuachana na jina langu la asili la Nurdin
Maneno hayo ni ya waziri na mwanasiasa wa zamani nchini, Al Noor Kassum, na yamo katika kitabu chake alichokiandika kinachoitwa Africa's Winds of change: Memoirs of International Tanzania
Alizaliwa January 11,1924 alisomea sheria Uingereza,
Mbali ya uwaziri, aliwahi pia kufanya kazi makao makuu ya UNESCO na UN.
NUKUU NO 4#
Kama Chama chetu ni Chama cha watu, basi hakuna shida yoyote ya watu ambayo twaweza kusema kuwa haituhusu.
TANU ndilo kundi moja katika nchi hii ambalo halina budi lijishughulishe na shida za kila mtu
TANU ni ya dini zote na makabila yote na koo zote.
Ni TANU peke yake, basi,ambayo inawajibu mkubwa wa kushughulika na shida za watu wa aina yote ;
Haya ni maneno ya Baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere, yamo kwenye kitabu chake alichokiandika mwaka 1962 kinachoitwa TANU NA RAIA.
Mwalimu alig'atuka urais wa Tanzania 1985
PoaMambo vipiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii.........................................................................????????????????????????????????????????????????????????????????????????
[emoji23] [emoji23]
Poaaaa!!!Mambo vipiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii.........................................................................????????????????????????????????????????????????????????????????????????
Akazane vip na mpira wenyewe kaishastaafu.. Au we unamuongelea ronaldo robot nin.. Hapa namzungumzia the phenomenon.. Pure ronaldo.. R9 de limaAaah sa si wakazane
Itv nahisi wazuiwa kuonesha wosia wa Baba wa Taifa
Genius
...........
Nmemuelewa sana hapo..NUKUU NO 2#
Nilianzisha mapambano ya kuikomboa Cuba nikiwa na wapiganaji 82.
Kama leo ningerudia kuanzisha mapambano hayo, ningelikuwa wapiganaji Kati ya 10na 15 tu lakini wenye imani kubwa
Katika harakati za kuleta mapinduzi, haijalishi mko wachache kiasi gani ilimradi wote mna imani kubwa na mnachotaka kukifanya
Maneno haya yatamkwa na Rais wa zamani wa Cuba, Fidel Castro.
Alizaliwa huko biran, Cuba Agosti 13,1926
Baada ya kuipindua serikali ya dikteta Batista mwaka 1959,Castro Aliiongoza serikali kama waziri mkuu.
Baadaye akawa Rais kuanzia mwaka 1976 hadi 2008 alipomuachia nafasi hiyo ndugu yake Raul kwa sababu ya kuzorota kwa afya yake
Mpaka sasa afya ya Castro haijatengemaa
Uwe karibu na TVMambo vipiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii.........................................................................????????????????????????????????????????????????????????????????????????
Hello lv..Hello bby
Much respect kwake yeye.. Watu wa aina yake wanapotea kwa kasi kubwa na kuzaliwa kwa kasi ndogo..
Wasifungwe tu..Sina la ziada nukuu ya leo iliwajia kwa uzamini mnono wa Samata na GENKS, jioni njema
R.I.P
Genius
...........