Makapuku Forum

2001 - Rais George W. Bush anahutubia Taifa, baada ya mashambulizi ya kigaidi yaliyofanywa na Kikundi cha Al Qaeda.

Katika hotuba hiyo Rais Bush alitangaza vita yake dhidi ya Magaidi popote pale Duniani.

Ikumbukwe siku ya tukio la September 11, Rais Bush alikuwa shule moja huko New York, ghafla akafatwa na walinzi wake na kupelekwa katika ndege ya Airforce One na rubani kuelekea uelekeo wa Ghuba ya Mexico ambapo walikaa angani mpaka hali ya usalama ilipotengemaa na kurudi Ikulu Jijini Washington D.C
 
Na mpaka leo Marekani ni adui wa Magaidi na Magaidi ni maadui wa marekani.
 

Mwisho wa Siku Osama chali
.......
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…