Nafurah kila nikikumbuka ulivyokuwa huzipendi, ila baada ya kukupa lyrics ukaanza kumuelewa tupac n bob marley..
Hasa keap ya head up, me n my girlfriend na do for love.. Ukija geto lazima uziweke enzi za kubambiana kwa kuiba iba..
Letterto my unborn child, uliipenda saana hii nyimbo enzi ujauzito wako wa kwanza.