Makapuku Forum

Huwez jua nini kilichompata
Alimuona mke wa Huria muhiti anaoga sa sijui enzi hizo hakukuwa na mabati?!![emoji33]...akamtamani akazini nae...na alikuwa ni mfalme kipenzi cha Mungu...sema alitubu badae. So unaweza kuta hata mapadre wanazini kama kawa hii miili sometimes hatuwezi kuicontrol hata uwe nani hapa Duniani...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…