Sweetiepie
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 6,107
- 24,132
Apumzike tu maana rumors nazo zinaboa wakati mwingine1996 - Tupac Amar Shakur anafariki Dunia.
Alikuwa ni rapa wa muziki wa Hiphop toka nchini Marekani.
Anachukuliwa kama mmoja kati ya rapa mwenye ushawishi na bora wa wakati wote.
Ni miongoni mwa watu wachache ambao wameendelea kuwa maarufu hata baada ya miaka mingi kupita baada ya vifo vyao kando ya Mwanamapinduzi Ernesto Che Guevara na mwanamuziki wa regge Bob Marley.
Tupac aka Makaveli alifariki baada ya kupigwa risasi kadhaa wiki moja baadae ndio anafariki baada ya kiasi kikubwa sana cha damu kuvuja ndani ya mwili.
Pamoja na yote hayo kuna wanaoamini Tupac hajafa, Alifeki kifo chake ili apunguze kufatiliwa.
Kwa wale wanaoamini kuwa Tupac amefariki wanaamini Big ndio aliyemuua baada ya kutoelewana kisa Tupac alitembea na mwanamke wa Big Notorius aliyitwa Faith Evans.
Pia kuna wanaoamini Tupac aliuwawa na bosi wake na mmiliki wa Death row Inc. ambaye ni Suge Knight.
Baba wa ubatizo wa Tupac alifariki na kuzikwa Tanzania, alijulikana kama Geronimo Pratt.
Leo ni miaka 20 toka 2pac afe bado anabaki kama rapa bora wa wakati wote.
Pumzika amani 2pac.
Shouts out to Chocolate...[emoji4][emoji4][emoji4]Leo ni siku ya kimataifa ya Chocolate.
Ati Alikuwa kazini [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125]Duh! huyu tetemeko lilimkuta wakati mbaya sana [emoji4]
Ni chunge kondoo[emoji23] [emoji23] asa unautaka upadri wa nini??
Mbona wengi, kama MandelaOk poa, hivi kuna waafrika washawah kushinda noble kweli?
Mpaka lini?Ndio mkuu......inampasa asubiri
Asante Le Dictator Mussolin5[emoji5]Leo katika Historia:
Sina la ziada, kwa udhamini mnono wa 2pac makaveli, tuonane tena kesho.
Bye!!
Yangu umepata [emoji16]We nipe kura yako..
NimeshapoaPole sana mwayego.. Tusubirie tu nyingine [emoji4]
Hahaha, hakuna kitu kama hicho.....ye aliamua tu mujibebea mzigo[emoji23] [emoji23]Huwez jua nini kilichompata
Ok inawezekana mana yule mama alisifika sana kwa kuenzi mazingiraWapo, yule mama prof wa Kenya sasa marehemu, Mathae
Yeah ni kama alipiga Copy
Unamkubali mpaka unaumwa eehRest in peace king pac...
Makaveli the don
Duh! hauna hata kapicha ka hiyo kalenda kanogeshe hii comment?Warusi ndio wametisher hawana namba 13 kwenye kalenda??![emoji2][emoji2]
Ni kweli mkuu!Hata hotel zao hazina chumba namba 13
Ni poa joh, mishe ni nini!?Nakuona katika ubora wako arifu.. Niaje lakin?
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] weka picha mkuu
Hata majengo mengi marefu hayana floor no 13Hata hotel zao hazina chumba namba 13
NdioKwani bamia ni dawa mkuu[emoji15] [emoji15] [emoji15]
Pale sera zake zitakapo komaaaMpaka lini?