Makapuku Forum

Wazungu wanazingua hapo.. Mbona watu wengi tu waliozaliwa hiyo tarehe wako vizuri sana?
 
1973 - Fabio Cannavaro anazaliwa.

Ni beki wa zamani wa Ibter Milan, Real Madrid na Juventus.

Alishinda ubingwa wa Kombe la Dunia mwaka 2006 akiwa kama nahodha wa kikosi cha Italy.

Anachukuliwa kama mmoja wa mabeki mahiri wa kati ambao walikuwa ni wafupi katika historia ya soka.

Pia ni beki pekee ambaye mwaka 2006 alishinda Tuzo ya Mchezaji bora wa Dunia.
 
No 13 ni shida sana, pia huwa wanalinganisha 13 ngapi zinaangukia jumatatu zikizidi kwa wastani kwa mwaka, huo mwaka huwa ni wa hatari sana
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…