Jimena
JF-Expert Member
- Jun 10, 2015
- 25,935
- 96,100
Kafute yale mapicha ya kutishathikamooo papa
Sio fair kupost picha ya marehemu tena katika hali kama ile
Kafute yale mapicha ya kutishathikamooo papa
Sure... Ni jambo zur kusitisha safar kwa ajili ya kuwepo kwenye mazishi ya kitaifa, ila mtiririko wa kugoma kwenda kwenye safar muhim ndio unamuweka katika hali mbaya.Hata kama angeenda napo ni yale yale: kakimbia maafa nyumbani mwake. Haiwezekani kumfurahisha kila binadamu kwa wakati wote hasa Mtanzania aliyejaliwa kipaji cha ajabu katika taaluma tata ya kulalamika tena dhidi ya kila jambo liwe jema au baya!
Hongera sana kwa kutupia post ya 104kUnawajaribu wakati huwa hawajaribiwi
DrooNani mjanja
Hana ushawishi
NdioNi hz za marehemu?
Anao ushawishiHana ushawishi
Jonax.. Ushapata vitu vyako nini!!?Ingieni kwenye hiyo link hapohttps://www.jamiiforums.com/index.php?posts/17593012 muone skendo ya Jonax ya kushtakiwa kwa tuhuma ya kutumia marijuana(cocaine)
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
We usiwe kama mgeni, unajua fika kuwa sisi huwa hatuweki picha za kutisha,Sawa... nmeshaziondoa...
Nisameheni wa kuwakwaza, haikuwa dhamira yangu. Bali nilikuwa najaribu kumthibitishia Jimena kuwa pesa inaweza kuondoa uhai wa watu.
Hajafuta anadanganyaWe usiwe kama mgeni, unajua fika kuwa sisi huwa hatuweki picha za kutisha,
Wakina nani hao!!?
Ngoja tuoneHatuwazingui wajameni..![]()
![]()
Ngoja nipige hatricHongera sana kwa kutupia post ya 104k
Unakuja juu sana wa mchangani
Cc pacha Sweetiepie![]()
![]()
mwambie akutake radhi..
Bado sijauona kwa upande wanguAnao ushawishi