Bitoz
JF-Expert Member
- Aug 27, 2015
- 30,823
- 126,632
AlikibaAli Kiba100
![]()
![]()
![]()
.........
Tena faini zao siju hizi si chini ya m10, usije ukauza kigar chako cha urithi bure..Nitaitwa mchochezi

Kweli kabisa, maana tutaonekana sisi sio wazalendoKadelete picha zako za askari
Siyo jambo zuri halafu ni kuwaumiza watu na kuwapa stress tu .....hakukuwa na sababu ya msingi kuzipost
........
Mjomba Lisu ataniteteaTena faini zao siju hizi si chini ya m10, usije ukauza kigar chako cha urithi bure..![]()
![]()
![]()
Maneno hayatoboiKing Kiba
Mfalme wa porini
![]()
![]()
![]()
......
Ni hz za marehemu?Jonax futa picha hizo tunaharibiana siku
........
Hizo hizoNi hz za marehemu?
Wananifahamu..Unawajaribu wakati huwa hawajaribiwi
Issue sio uzalendoKweli kabisa, maana tutaonekana sisi sio wazalendo
Sawa... nmeshaziondoa...Kadelete picha zako za askari
Siyo jambo zuri halafu ni kuwaumiza watu na kuwapa stress tu .....hakukuwa na sababu ya msingi kuzipost
........
KaDELETENi hz za marehemu?
Ndio nipo hapa hata sijielewi.
Hahahaaa...... Nimejitahidi kukuelewa sana. Shukrani tho.We aliyekwambia ukiwa na mtoto wa kike ni lazima usugue nani.. Naona umekazania "piga puli" piga puli.. Kwahyo we unaona hii sikukuu namuhitaji kwa ajili Ya kitendo, sio lazma kila ukiwa na mwali umsugue.. Kuna having good times, story, matani ya hapa na pale, kucheza cheza, vijichallenge vya hapa na pale, kupika na kula pamoja, kama mkiamua kutoka mnatoka pamoja au mnaganda home mnacheza hata games (ps4). Ikitokea hali ya kupiga game, mnapiga show tu tena nzito.