Hata kama angeenda napo ni yale yale: kakimbia maafa nyumbani mwake. Haiwezekani kumfurahisha kila binadamu kwa wakati wote hasa Mtanzania aliyejaliwa kipaji cha ajabu katika taaluma tata ya kulalamika tena dhidi ya kila jambo liwe jema au baya!
Sure... Ni jambo zur kusitisha safar kwa ajili ya kuwepo kwenye mazishi ya kitaifa, ila mtiririko wa kugoma kwenda kwenye safar muhim ndio unamuweka katika hali mbaya.
Sawa... nmeshaziondoa...
Nisameheni wa kuwakwaza, haikuwa dhamira yangu. Bali nilikuwa najaribu kumthibitishia Jimena kuwa pesa inaweza kuondoa uhai wa watu.