Kitombise
JF-Expert Member
- Sep 24, 2013
- 8,652
- 25,849
Umetisha
thikamooo papaUmetisha
thikamooo papaShishi baby
Hakuna matata
Unawajaribu wakati huwa hawajaribiwiMaana kuna jamaa mmoja juzi alikuwa mgeni na katka utambulisho akaweka na picha yanke.. lakini cha ajabu alitukanwa sana huku akiitwa mshamba.
Ila leo kuna mwanamke mgeni kaambatanisha na picha yake ili kasifiwa balaaaa.
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Ndo mana na mm nkasema ngoja nipime upepo
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Huu mbambio wa shilole ni hatari...

Kadelete picha zako za askarithikamooo papa
Niliona
Wakamuita mwanaume wa dar mara shoga
Tatizo wivu unawasumbua maana wao sura zao mbaya km matako halafu wana machogo na ngeu
![]()
![]()
![]()
........

Picha ipi?Ile picha ya vile vitamu kuliko pesa ni upuuzi. .....
Nani mjanjaNae pia atatoa show feki
Uchochezi sasaWale askari wa CRDB Temeke
From IgungaJimama
![]()
![]()
![]()
......
Muulize jimena ndio walimpostiaPicha ipi?View attachment 398846
Jionee tofauti

Wajanja wote sababu walikulanaNani mjanja
Heshima iwepo dogo anaitwa AlikibaJionee tofauti
Mondi anawania tunzo 5
Alikimba katunzo ka1
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
..............
Weka link ya mwanamkeJamaa mwenyewe huyo![]()
https://www.jamiiforums.com/index.php?posts/17537354
Yani walimdhihaki, kumkejeli na kumtukana mbayaaaaa
View attachment 398825ila leo mwanamke ameweka picha lakini kapongezwa vibaya sanaaa
Mweeee, Ngachoka miyee
View attachment 398826![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
We aliyekwambia ukiwa na mtoto wa kike ni lazima usugue nani.. Naona umekazania "piga puli" piga puli.. Kwahyo we unaona hii sikukuu namuhitaji kwa ajili Ya kitendo, sio lazma kila ukiwa na mwali umsugue.. Kuna having good times, story, matani ya hapa na pale, kucheza cheza, vijichallenge vya hapa na pale, kupika na kula pamoja, kama mkiamua kutoka mnatoka pamoja au mnaganda home mnacheza hata games (ps4). Ikitokea hali ya kupiga game, mnapiga show tu tena nzito.