Makapuku Forum

Kweli kabisa, maana tutaonekana sisi sio wazalendo
Issue sio uzalendo
Picha za kutishana hapana aisee
Mi mwenyewe Musso kwenye historia namwekea picha ambao hazitaathiri watu
Mfano nimeweka ya Steve Niko akiwa ndani ya jeneza lakini ni kwa mbali.....vilevile sijaonesha akiwa kauawa
Niliweka kwavile ishu ilizungumziwa
...........
..............
 
Hahahaaa...... Nimejitahidi kukuelewa sana. Shukrani tho.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…