Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 70,485
- 167,265
Nitaitwa mchocheziUsicheke kwa nguvu, wakikuskia shaur yako.
Nitaitwa mchocheziUsicheke kwa nguvu, wakikuskia shaur yako.
Inaelekea wewe ni sugu kwa puuuli
Yani Hitler anajikuta mjaanja mwenyeweLeo katika Historia:
1919 - Adolf Hitler anajiunga kwenye chama cha wafanyakazi nchini Ujerumani.
Baadae chama hiko kinabadilishwa na kuwa chama cha Nazi.
Ndio nipo hapa hata sijielewi.Mie ndio hata sielew maskini.. Ntalala ndani tu siku nzima.. Cz without u siku"KUU" ni siku ya kawaida tu.![]()
![]()
![]()
![]()
Na wewe pia Eid Mubarak dearestEid mubaraq kwenu ndugu zangu
Tukaribishane tu hyo misosi..
Huyu ndio Mussolin kumbe


nafurahi kukufahamu!HajazoeaPIGA PULI
Maskini yaani R.I.P Paul1973 - Paul Walker anazaliwa.
Ni actor na muongozaji wa filamu toka nchini Marekani.
Alinipatia Umaarufu katika filamu za Fast and Furious.
Alifariki Dunia mwaka 2013 kwa ajali ya gari.
Hahahaha!!!!Leo katika Historia:
Kwa udhamini mnono wa Eid Mubarak, nawatakieni sikukuu njema.
Nipo tayari kwa mwaliko jamani.
Bye!!
Ni kweli anasikitisha sanakila niionapo picha ya JFK huzuni hunijia. Apumzike kwa amani.
If he don't like the condition he better change it, and if he can't, he might change the way he thinks about it.Hajazoea
Kuna ka Clip flan hivi nilikasikia alisema hivi....i cogregation you for be here...i say No..i say no no ever.Akijaribu kuongea lugha ya malkia utafikiri vyuma vinasagana
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()




...mi mpaka leo sijapata maana ya hayo manenoHahaa... Ukijumlisha na lugha yenyewe gongana, basi tabu tupu..
Kuna makabila mengine hayafai hata kuongea lugha za watu ni uharibifu..
![]()
![]()
![]()





My baby boyDah.. Mie sikukuu mbovu kweli bila pacha wako, ndio sikukuu ya kwanza toka niwe na mdogo wako nakula pekee yangu..![]()
![]()
Mpe hi ndugu yangu, ila mjuze kuwa namtafuta kwa phone hapatikani..

Well...so far everything is cool...but umbali tu ndio ishu for now.If he don't like the condition he better change it, and if he can't, he might change the way he thinks about it.


Are you familiar with the law of magnetism?Well...so far everything is cool...but umbali tu ndio ishu for now.![]()
Mpigie mkayajenge sasaDah.. Mie sikukuu mbovu kweli bila pacha wako, ndio sikukuu ya kwanza toka niwe na mdogo wako nakula pekee yangu..![]()
![]()
Mpe hi ndugu yangu, ila mjuze kuwa namtafuta kwa phone hapatikani..
Hebu katafute urushe humuKuna ka Clip flan hivi nilikasikia alisema hivi....i cogregation you for be here...i say No..i say no no ever....mi mpaka leo sijapata maana ya hayo maneno