Makapuku Forum

Unawajaribu wakati huwa hawajaribiwi
 
We aliyekwambia ukiwa na mtoto wa kike ni lazima usugue nani.. Naona umekazania "piga puli" piga puli.. Kwahyo we unaona hii sikukuu namuhitaji kwa ajili Ya kitendo, sio lazma kila ukiwa na mwali umsugue.. Kuna having good times, story, matani ya hapa na pale, kucheza cheza, vijichallenge vya hapa na pale, kupika na kula pamoja, kama mkiamua kutoka mnatoka pamoja au mnaganda home mnacheza hata games (ps4). Ikitokea hali ya kupiga game, mnapiga show tu tena nzito.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…