Makapuku Forum

Makapuku Forum

Dah.. Mie sikukuu mbovu kweli bila pacha wako, ndio sikukuu ya kwanza toka niwe na mdogo wako nakula pekee yangu..

Mpe hi ndugu yangu, ila mjuze kuwa namtafuta kwa phone hapatikani..
1473670800003.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom