Makapuku Forum

Hao wabaya upande wa pili ndio wako vizuri balaa....naskia wazuri ni nje tu ndan hamnaga kitu.
 
 
Naona mpaka leo Marekan ni adui wa karibia nchi zote za Kiislam
 

Sad...japo siwapendi Wamarekani
........
 
Nsekwa tupia picha za Asia

.......

Jengo hilo refu linaitwa SHANGAI TOWER lina urefu wa 632m na ni la pili kwa urefu duniani baada ya lile la Dubai. Jengo la jirani yake ni la saba kwa urefu duniani.

Nimepiga picha nikiwa juu ya mnara wa TV na Radio uitwao *Oriental pearl Radio &TV Tower* wenye urefu wa 350m ambao uko kama mita 300 kutoka kwenye jingo hilo. Mnara huo kwenye urefu wa 285m pamejengwa na material transparent kama kioo yanayoonyesha chini palivyo. Jamaa wanakusanya mapato ya utalii kwa wingi sana kwenye mnara huu. Siwezi kutuma picha zote, leo natuma hizi tu za eneo moja tu.

Nawatakia Jumapili njema
 

Attachments

  • DSC_0823-1067x1600.JPG
    43.9 KB · Views: 28
  • DSC_0867-1600x1067.JPG
    96.7 KB · Views: 19
  • DSC_0868-1600x1067.JPG
    133.4 KB · Views: 28
  • DSC_0898-1600x1067.JPG
    56.7 KB · Views: 21
  • DSC_0925-1600x1067.JPG
    110.2 KB · Views: 21
  • DSC_0934-1600x1067.JPG
    119.3 KB · Views: 23
  • DSC_0936-1600x1067.JPG
    73.7 KB · Views: 21
  • DSC_0946-1600x1067.JPG
    147.2 KB · Views: 22
  • DSC_0957-1600x1067.JPG
    149.3 KB · Views: 23

The Kaiser
.........
 
Duuh haya sio mbaya kusafisha macho hata kwa picha
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…