Saana.. Mashetan wakishinda au arsenal ikifungwa tabu tupu.. Mtu hajakupigia simu wala tafadhali nipunguzie salio, mwaka wa 6, lakn man u wakishinda game kubwa simu zinaingia..
Za Jioni mwenyekiti....aisee niliangalia jana usiku ile documentary ya Operation "Wrath of God"duuuh waisrael ni nomaaa na Mossad wao walivyotumia technic ku revenge..ni hatari.