Sasa niliposema timu maarufu EPL ni United inamaainisha dunia nzima sababu ndo ligi inayofuatiliwa zaidi
Ushahidi upo vibanda umiza game za Manyau ndo zinajaza banda kuanzia mashabiki hadi haters tofauti na mechi za timu nyingine
Mfano:
United kutocheza Champions League ni pigo kwa vibanda umiza
Leicester + Spurs haziwezi kuwafutia watu
..............