Mukongo unadhani?? wala! wasichana tuko wachache humu ndio maana! waje na wengine uone kama nitapendwa. Nadhan hilo neno kapuku limewakimbiza wanadhani wanaume wa humu Wallet hazisomi. Wanawake wenzangu Mungu anawaona!!!
Ndio maana umekasirika japo ni ukweli mtupu
Mwache werrason afunguke bhana. Hapa ni uhuru wa kuongea full
Kwani kupendana ni ajabu werrason mpaka ushangae?Amuna, nimeshangaa alivyo na nyota ya kupendwa Papaa
Hii huwezi pata kuiona mahali popote pale ila JIJINI BARIADI pekeeBwahahahahahaaaa
Harafu huo ndio huwa unakulaNi kweli shem sembe sikumbuki mara ya mwisho nilikula lini. Nikila ugali basi ni huo nilioutaja hapo japo sometimes ugali kama ugali huwa sipendi.
Sent from my SM-G361H using JamiiForums mobile app
Daaah....Hii huwezi pata kuiona mahali popote pale ila JIJINI BARIADI pekee
Ewaaa, hapo umesema
Za mchana jirani....Ewaaa, hapo umesema
Atakimbia sasa hiviWerrason starehe yako ni nini?? chagua hapa
1. Pombe
2. Sigara
3. Bangi
4. Vishkwambi
5. Michezo kuangalia sana
6. Mazoezi ya mwili.
Sent from my SM-G361H using JamiiForums mobile app
Hiyo mbona sura ya kiha
Pole, ndio hivyo sasa, maana hamna namna nyingine sasaMi nimeshashindwa....inakuja kila nikiitoa inarudi...hata sijui nifanyeje na sipendi kweli kila mtu ajue natumia simu ya aina gani....
Sent from my SM-G361H using JamiiForums mobile app
Akimbie mara ngapi....kasema yeye starehe yake ibadaniAtakimbia sasa hivi
Bora useme wewe jiran maana sura zingine za kiha wanasingiza Sukuma...Hiyo mbona sura ya kiha
Ukienda bush ni full udaga mwanzo mwisho hakuna ujanja ...sema tamu sana.Harafu huo ndio huwa unakula
Relax Papaa