Makapuku Forum

Nauza projector mpya haijatumika brand new.
Ina weza kutumia flash. Memory card, hdmi,
Ina speaker apoapo
Pia inaweza kutumia earphones.
Inaweza kuunganishwa na simu kwa wifi kudispaly content za simu.
Inaweza kuunganishwa kwa redio na tv
 
Mbona unaweka picha za mtandaoni? Badala ya kuipiga picha uweke hapa ikiwa reality.

Anyway unaiuza sh. Ngap mkuu, na uko wapi?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…