Hata naona aibu kusoma utetezi wa msomi mtetezi, sielewi kinachoendelea vichwani mwa wasomi wetu kama lipumba, pumba tupuProf liPUMBA anatafuta kick eti "sing'ang'anii nimeombwa"
Sasa km kaombwa halafu uongozi umemchunia zen kakomaa tu...je sio kung'ang'ania huko?
STUPIDITY
....................
Tatizo la waafrika ni NJAA .....Wamezaliwa vijijini kwenye vibanda vya nyasi na tope hivyo akili zimejaa topeHata naona aibu kusoma utetezi wa msomi mtetezi, sielewi kinachoendelea vichwani mwa wasomi wetu kama lipumba, pumba tupu
Morning Ankali JJ
Alafu huyo ndo mwanasiasa anauyetusisitizia sisi wananchi kuwa tujiajiri, ili hali wao hawawezi kujiajiri wanang'ang'ania madaraka tuTatizo la waafrika ni NJAA .....Wamezaliwa vijijini kwenye vibanda vya nyasi na tope hivyo akili zimejaa tope
Usishangae sana kwa mwafrika siasa ndo sehemu pekee rahisi kupiga dili na kupata umaarufu
Huyu bila shaka ni PROF WA PUMBA
Ndio maana wasomi wa kiafrika hawaheshimiki
...................
Barikiwa sana kwa magazeti ya leoView attachment 396667View attachment 396668
Mpaka hapo sina la ziada
Kwa udhamini mkubwa kabisa wa TGIF
Niite Jimena Jimenes
Adios
Ugali wa heshima huo...Fanya fasta maana tayar watu wameshaongezekaView attachment 396272ukichelewa utakuta tumeshamaliza
Chips hazifaiWe endelea kula chips tu
Wanasiasa kila kitu kwao siasaAlafu huyo ndo mwanasiasa anauyetusisitizia sisi wananchi kuwa tujiajiri, ili hali wao hawawezi kujiajiri wanang'ang'ania madaraka tu
Shem lake...Acha kuogopesha watu mkuu
Le prosofeli lipulipuProf liPUMBA anatafuta kick eti "sing'ang'anii nimeombwa"
Sasa km kaombwa halafu uongozi umemchunia zen kakomaa tu...je sio kung'ang'ania huko?
STUPIDITY
....................
Niliwamiss sana janaHiii! Nambie shem lake
Wasomi wetu ni majanga ya kitaifaHata naona aibu kusoma utetezi wa msomi mtetezi, sielewi kinachoendelea vichwani mwa wasomi wetu kama lipumba, pumba tupu
Le prosofeli lipulipu
KaribuChips hazifai
Wanasiasa like musukuma iko taka serikali ipitishe hiiWanasiasa kila kitu kwao siasa
Kundi hilo la watu nalichukia sana
Wanaboa kuliko matusi ya Ngedere
..........
Nikajua labda bando maana pale si unaangalia moja kwa mojaHahaha bando ndo nini shem?
Hata mimi nalijua hiloAkhsante sana la aziz, bila wewe siwezi kuwa champion kirahisi we ni mtu muhimu sana kwenye huo ushindi kila mtu hapa KF analijua hilo
Na mimi siuachiUnaaa siachiii