Kitombise
JF-Expert Member
- Sep 24, 2013
- 8,652
- 25,849
Embu nijuze QUIGLEY amesemaje?
Embu nijuze QUIGLEY amesemaje?
Embu nijuzeni kidogoHuyu hanaga noma
Anafaaa kwa matumizi ya mwanaume kabisa huyu
Atarudia unga km kawaAnafaaa kwa matumizi ya mwanaume kabisa huyu
Wewe sio maarufu?Acha uboya
Kuna blogger namwandikiaga kwa "makubaliano"
Mpango ni kuanzisha blog yangu sema nasikia ukiwa maarufu ndo unapata matangazo
Hiyo ndo shida
................
Wazima kabisa, vp weweHamjambo familia?
Unatumiana RADIEmbu nijuze QUIGLEY amesemaje?
Ulivyosema yeye akajaNipe sababu ya kusema mimi ndo nimemleta. Then nitakujibu
Nipo kwenye TOP 10 hapa JFWewe sio maarufu?
Pig stylishSijui kwa nn wanapenda kuvuta midomo