Kama atanielewa, dunia hii tunategemeana sana, kila ulichonacho wew ni fursa kwa mwenzio. Kutegemeana huko ndiko nafasi yetu ya kuuza tulicho nacho na hivyo kutengeneza pesa
Uko sahihi, kuna watu wanasaka aidia nzuri na hii inalipa sana coz ndoa nyingi ziko taabani watu wanasaka suluhu, wakisiKia kuna mtu wa aina hii wanamiminika tu
Siasa ni sumu sana.. Hasa kwa wengine kama sisi tusiopenda masiasa ndio kabsa unakimbiza mtu... Pia kwenye pande mbili lazima uegemee upande mmoja ndio hapo sasa wale wa upande wa pili unawachukia..
Uko sahihi, kuna watu wanasaka aidia nzuri na hii inalipa sana coz ndoa nyingi ziko taabani watu wanasaka suluhu, wakisiKia kuna mtu wa aina hii wanamiminika tu