Makapuku Forum

Hahaa...
 
Juzi nimeshindwa kuja KF kucheki nina post zaidi ya 899 jana nikachungulia nika kuta nyingine 700 na ushee asubuhi mia 200 na kitu nikafanya uamuzi MGUMU kuendelea pale uzi ulipo[emoji41] [emoji124] [emoji445] [emoji443] [emoji444]
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] niliwahi kukuta nimeachwa kwa posts 3900+, we acha tu ilikua ni kama niko majaribuni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…