Leo namleta mtu wa Massage aje hadi kwako kukurelaxisha misuli yako kazi ya jana haikuwa ndogo kama zawadi yako kwangu...nimlete wa kike au wa kiume?? chagua hapo.
Hata mimi huwa nawamiss makapuku japo siwafaham kabisa hata mmoja...yaan interesting, jana nilichelewa kuingia jamvini ila moyo ukauma sana ikabidi niweke bundle niingie..we are like family now.