Tetramelyz
JF-Expert Member
- Apr 25, 2014
- 4,369
- 12,469
Hello kapukuz
Hello!!Hello kapukuz
Sio kwa kutafutwa hukoBora umekuja maana du
Anasema anataka kutupia hat trickHata mi shululu ameniogopesha sana
Usikate tamaaMi najua sitoweza kuipata hiyo maana muda huu dizain nina back and forth hivi yani sijatulia bado.
Sent from my SM-G361H using JamiiForums mobile app
Ungabure hawezi nipita tenaaaaNgoja ukose bando la chuo ndio utamjua
Niko na I jaribu jf mobile app kama inafaa kwa mtanangeHello!!
Maana kila mtu anasema uko kwakeSio kwa kutafutwa huko
HaswaaaaaaaAnasema anataka kutupia hat trick
Ngoja tuoneUngabure hawezi nipita tenaaaa
Sasa hv ntakuwa makini
Sasa mbona umetoa macho
Time will tell tusubir..Ngoja tuone
Inazinguaa lakini
Unapenda sifa si useme unakunywa komoniHii 100k ntaitupia usiku mkiwa mmelala kabisa.
Ila kama ntaikosa basi itakuwa ni hizi bia nnazokunywa hapa ndo zitanicost
Mbona iko poa tu komaa nayo tu.Ila naona inazingua
Nasikitika tu hapo jinsi nilivyokumiss.Sasa mbona umetoa macho