Sweetiepie
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 6,107
- 24,132
Labda anaogopa nitamshawish turudiane maana nafahamu udhaifu wake.Sasa tuambie kwa nini amehama mjini
Labda anaogopa nitamshawish turudiane maana nafahamu udhaifu wake.Sasa tuambie kwa nini amehama mjini
[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]haya nipigieni makofi nastahili kuponhezwa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kidogo siyo sanaaaIla pressure ilipanda sana
[emoji23][emoji23]Quigley huyo, sijui anataka nini
Heheheeee memuona duuhUmemuona sasa alikofika
Mko nae jiji ni nini? [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]Huyu si mgambo huyu
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Yep...Unasemaje???
Hawachelewagi hao[emoji3][emoji3][emoji3]kuna mmoja kamgeuza mwanae mkewe na kumwambukiza ukimwi
Sasa na huyu nina wasiwasi nae
Sio kwa kiss hiloUnamuelewa tu
Wazungu hawachaguiYep...
Umeona eehDuh! Hii nayo kali
Ila hapa tunaweza kusukuma uzi alafu anakuja kutupia 100k mtu ambae hajategemewa kabisa yanLabda, inabidi ufikirie nje ya box kama hivyo yan
Yani ndio iko hivo jirani hata wabishe.Leo umeongea point sana jirani
Nyambafu ww umeninyang'anya tonge mdomoniWazungu hawachagui