Makapuku Forum

Sio kila mtu anaishi kutafuta utajiri. Wapo watu wengi sana wanafurahia kuwa na elimu nzuri na kutumikia jamii. Ndiyo maana tuna madaktari, marubani, waandishi wa vitabu na kadhalika. Hakuna hata nchi moja iliyoendelea kwa kuwa tu na matajiri. Nchi zinaendelea kwa kuwa na wasomi wazuri, hivyo kuwa na wahandisi, wanasayansi, madaktari na kadhalika. Mwisho mtu akikwambia Sio vizuri kuwekeza kwa ujumla katika elimu ya darasani, mwambie akatibiwe kwa madaktari uchwara ambao hawakujielimisha vizuri au apande ndege yenye rubani ambaye alikuwa anakacha masomo. Usichezee elimu, na tusidanganyike na hawa motivational speakers
............................................
Mi nahisi inazungumziwa maendeleo ya nchi sio mtu
.............................................
 
MAKAPUKU'S HOMELAND VIBES: REMINISCING AFRICA'S FINNEST

1. Sambolera- Khadija Nin
https://youtu.be/3lpuMD_zJCY
2.Woman- Juliana Kanyomozi

3.Pray for me- Darey ft Soweto Gospel Choir

4. Sirimba- Ngoni ft Jaydee

5.Wish me well- Timi Dakolo

6.Unajua- Gilad ft Wendy Kimani
https://youtu.be/lhkslaPN-_4
7. Plus Vivant- Lokua Kanza

8.Tiff- Simi

9.Jailer- Asa


10. Haturudi Nyuma- Kidumu ft Juliana Kanyomozi
https://youtu.be/tw2Ky9mDvOA
11. Na gode- Yemi Alade

12. Nerea- Sauti Sol ft Amos & Josh

13. We are Africa- Rubunhu
https://youtu.be/dc0dubuoyYc
Hizi ni za jana. Ilibidi niziweke nikashindwa.

CC; Jimena , Sweetiepie , briz , shululu , Bitoz , werrason , makaveli10

 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…