Makapuku Forum

Furaha yangu ni kuona watu wanapata kitu roho inapenda,
Japo nami natamani.
Huyu Amaizing nilimwombea amepata nafurahi pamoja naye,
Cjui naponzwa na id yangu
Hhahahahahahah kumbe kupata pakupumzikia ndiyo tatizo..Usijali mkuu simamia huu mstari Isaya 65:24 unasema "Itakuwa KABLA Hawajaomba Nitajibu; Wakiwa katika kusema [Kuwasilisha maombi] nitasikia"
 
Mzee mshana jr nakuhitaji Mzee haraka...

Bbylove cute b bado hali ni tete
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…