amaizing
JF-Expert Member
- May 3, 2013
- 3,616
- 12,398
Tutajitahid tuende nayo sambamba kakaHii speed ya leo wengi lazima watapike njiani
Tutajitahid tuende nayo sambamba kakaHii speed ya leo wengi lazima watapike njiani
HapanaWould like a glass of Hernesy V.S.O.P.???
Hhahahahahahah kumbe kupata pakupumzikia ndiyo tatizo..Usijali mkuu simamia huu mstari Isaya 65:24 unasema "Itakuwa KABLA Hawajaomba Nitajibu; Wakiwa katika kusema [Kuwasilisha maombi] nitasikia"Furaha yangu ni kuona watu wanapata kitu roho inapenda,
Japo nami natamani.
Huyu Amaizing nilimwombea amepata nafurahi pamoja naye,
Cjui naponzwa na id yangu
karibu sana mkuu,kua huru kabisaaaaaNa mimi naomba kujiunga huku kwa makapuku wenzangu nimechoka na madharau ya wanaojiona jf mali yao..
Asanteni sanaKaribu sana kamtu 33
Unashindana na boss?Usipoipata hiyo post, utapalilia mipapai mwenyewe
![]()
![]()
![]()
Sijui nitaikuta ngoja nijimwagie maji humu watu full kupandishana midadi dooohhhh sex hormones zimenibana ngoja nizishushee...![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
humu ndani hamuishi kunifurahishaKaribu sana,huku ni raha tu.Na mimi naomba kujiunga huku kwa makapuku wenzangu nimechoka na madharau ya wanaojiona jf mali yao..
Na kama natembea haraka my wife niambie nipunguze mwendo mke mwema...sihitaji kukuacha nyuma kwani huko kuna wanyama wakali..Tutajitahid tuende nayo sambamba kaka
thanks for such a sweet kiss bby...Love u deep frm my heartMmwwaaaaaa...... mpenzi wangu aggyjay popote ulipo.
Sijui kama Nahrene wangu ataiwezaTutajitahid tuende nayo sambamba kaka
Komaeni..Tutajitahid tuende nayo sambamba kaka
Honey upo na Bible pemben au hiyo mistari IPO moyoni na kichwan???Hhahahahahahah kumbe kupata pakupumzikia ndiyo tatizo..Usijali mkuu simamia huu mstari Isaya 65:24 unasema "Itakuwa KABLA Hawajaomba Nitajibu; Wakiwa katika kusema [Kuwasilisha maombi] nitasikia"
Nimekuja doohhh!!! Hali ya baba wa taifa ilikuwa mbaya .......yaani ukiwa humu mida hii uwe na kakiburudisho pembeni...![]()
![]()
![]()
humu ndani hamuishi kunifurahisha
Ila ndungu yangu nilipita mahali nikasikia unajadili yamkini ni hiyo id yako ndiyo inayokunyima fursa za kumiliki huku ndani...Ni kweli ama nilifananisha sauti..Wito unanitafuna natamani vijana wa tz waijue nuru, kule kwetu Ethiopia nimemtangaza sana Kristo mkuu wangu
Mzee mshana jr nakuhitaji Mzee haraka...Yaani unachepuka hapa hapa kwenye hii familia... umenikosea sana... nina mwaka hujaniita Kipenzi lakini wengine ni kama pumzi...
kiwatengu najua hujaamka ila ukiwa kama mzee uliyehalalisha hii ndoa naomba uje uivunje rasmi niwe single and available na Mali tugawane
Umetisha sanaUnashindana na boss?
Utapauka utosi !
.........,.
likedAsanteni sana
My dear nimelila neno nikalishiba mke wangu...Honey upo na Bible pemben au hiyo mistari IPO moyoni na kichwan???