Jimena
JF-Expert Member
- Jun 10, 2015
- 25,935
- 96,105
Kufikia mlipoPost 235 kufika wap tena kipenzi?
Kufikia mlipoPost 235 kufika wap tena kipenzi?
Ni kazi sana, siku moja mimi nilichelewa kulala kisa kusoma zote, ila huwa kunafaida sana, kunakufanya usiwe mtu wa kukata tamaa upesiKusoma post zote hasa ukiwa umechelewa ni kazi wakati mwingine mi huwa naskip tu![]()
Nawe pia mkuu brizUsiku mwema wakuu
Weka pichaMfundishe unavyofanya![]()
Na kwako pia babyUsiku mwema wakuu
Weka pichaOk, lala..
Mm leo ndo nnakuwa Man of the Kf
Sawa inabidi niziache tu maana hamna namna sasaSherii ukuje tulale sasa hizo posts utamalizia hata kesho bana
Najua ushamaliza AnkaliNakaribia kuwakuta
Salama vipi wewe shemela?Jimena wajionaje na hali ndugu yangu!?
Safi. Mi pia nimezimaliza zoteNi kazi sana, siku moja mimi nilichelewa kulala kisa kusoma zote, ila huwa kunafaida sana, kunakufanya usiwe mtu wa kukata tamaa upesi

Japo haikuwa kazi rahisiNajua ushamaliza Ankali
Pangusa miguu ulale we dogo kesho uwahi mshamba
![]()
![]()
![]()
.........
Ni kazi ngumu sana, hasa unapoona wenzako wanasonga tuJapo haikuwa kazi rahisi
Mie niko poa tu mpendwa, hofu juu yako best!!Salama vipi wewe shemela?
Inataka moyoNi kazi ngumu sana, hasa unapoona wenzako wanasonga tu
KaribuNakaribia kuwakuta
Weka picha
Same to u brodaGoodnight family