shululu
JF-Expert Member
- Jan 26, 2015
- 28,137
- 109,911
Kupanda mlimaPost 235 kufika wap tena kipenzi?
Kupanda mlimaPost 235 kufika wap tena kipenzi?
Ok, nawe piaPoa mkuu, uwe na wakati mwema
Hii speed hii ni hatari sanaUzi unapungua speed kuna Watu wameaga kwenda kulala
Siku zake zimefikaUMESHAWAHI KUFANYA HILI JARIBIO.?
>mchukue chura then muweke kwenye chombo ambocho ni good conductor of heat kikiwa na maji ndani yake,then anza kuchemsha maji akiwemo na chura ndani yake..
kadri temperature inavyo ongezeka chura nae huwa ana increase temperature ya mwili wake..
pindi inapokaribia kufika boiling point yaani nyuzi 100 chura atashindwa kuongeza temperature ktk mwili wake na hapo ndipo atataka kutoka ktk maji hayo ya moto na yanayo endelea kuchemka..
kutokana na kutumia nguvu nyingi sana ktk kuongeza temperature ktk mwili wake,pindi anapotaka kuruka atashindwa na atakufa humo ndani ya chombo cha maji yanayochemka..
SWALI; NINI KIMEMUUA CHURA.!??
Najua utaniambia ni maji ya moto...
La hashaa.!
kilichomuua chura ni kushindwa kufanya maamuzi mapema ya kutoka katika chombo cha maji yanayochemka hali ya kuwa bado nguvu anazo..
FUNZO
Fanya maamuzi sahihi sasa kabla nguvu za kutaka kufanya changes hazijakuishia kama yaliyomkuta chura..
NOTE; Kuvumilia jambo usiloliweza ni sifa ya punda.
BADILIKA

Nashukuru chief.. Jambo zuri na kubwa ni kuheshimu maamuzi ya mtu.Hiyo kujali and all that naona yuko vizuri tu ila hapo kwenye fumanizi sina la kushauri chief.. Mambo ya kushikana ugoni ni magumu mno
Nafurahi kusikia hivyo najua mtaonana na kwasabu mlishapendana siku moja mtatamani kukumbushia na mkishakumbushiana mtayaendeleza tu for the sake of your kids![]()

Jambo muhimu kwa mtoto wa kiume ni kusimama kwenye mstar, usiwe mtu wa kuyumbishwa, heshimu maamuz yako, atakuheshimu. Kuwa staki na natak uone utakavyokuwa boya.Makaveli atakuwa mmasai au mmeru
Harudi nyuma ati
ni kweli kabisa, hao jamaa hata kwenye ugomvi wakishatoa sime haliwezi kurudi hivi hivi lazima lionje damu kidogo

Usiku huu.. Watu na vidanga vyao, wengine na wachuchuz wao.Uzi unapungua speed kuna Watu wameaga kwenda kulala
Hii speed hii ni hatari sana
Dreva yeye na togwa tu hajari speed remit
kwenye kona shaa..Kweli ni happy squares day.. Nmeipenda hiiHappy Squares day
Today's date....
04/09/16* = *(2)²/(3)²/(4)²
![]()
![]()
![]()
![]()
*********************
Pangusa miguu ulale we dogo kesho uwahi mshambaKweli ni happy squares day.. Nmeipenda hii

Tatizo wanacomplicate sanaNaona wanakaririshana principles sana ndo mana yanawawia vigumu
Me more babyHawajui tu kama ndo nipo pale kigoma yan kama ni treni ndo limetia nanga... I'll always love you![]()
Tulia wa kinega..Pangusa miguu ulale we dogo kesho uwahi mshamba
![]()
![]()
![]()
.........
Jimena wajionaje na hali ndugu yangu!?Tatizo wanacomplicate sana
Sanaanavuka mipaka sio?
Nakaribia kuwakutaMdogo Mdogo tu kama unapanda kitonga