Sweetiepie
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 6,107
- 24,132
Siendi baby...tuspend weekend yetu home basi tuandae candlelight dinner yetu kwa ajili ya usiku, usiende huko unapotaka kwenda pls.Hhmm.. Wewe ulivyo b divorced alikuja kukufarij.. Wewe mtu anakutaka bado tu unataka ujiweke cloze..
Listen cwt, i cnt control u, ila upendo wako kwangu ndio unapaswa ukukontro.. Fanya kile akili yako inaona sahihi..
Mzuri sana ule.Hero wa Mariah ndio umetoka hewani
Unasubiri presha wewe toroka ujeNafaham unanijali ngoja tuone itakavyokuwa....
Uko vizur jiran yangu.Houston
....................nothing on air
Yeah naona umerudi...afadhali sasa na mimi niandae pigo za old is ever gold vizur.Umeme ndio umerudi
Haya unamfaa wewe..
Amekiri mwenyewe kuwa nakufaaMzuri sana ule.
Kama anakupenda atasema, n ni ruksa pia kumchukua, sikuumbwa kuteseka dunian, wala sikuumbwa kuumizwa na mapenz.. Niliumbwa niinjoi maisha nifaidi vile mungu alivyoumba kwa ajili yangu, ask her, kama anakupenda u r free, bt utasubiri kidogo nimrudishe nilipomchukua then utaenda kumchukua huko..Huna ujanja, mwisho wa gemu mke ni wangu, sukari yake mie
Nimekosa shemej yangu.. Nisamehe mie.. Kwetu hiki ni kitu cha kawaida.Pole shemeji
Ila usiwe unafanya hivyo maana utawakasirisha briz na Sweetiepie kitu ambacho hakipendezi
Jirani yangu huyu wa ukweli na tunaheshimiana sanaAnaumia kwa ndani anatamani akusemeshe but...
Labda.. Bt huwa siamin mambo hayo.Umeamka vibaya my baby
Kama anakupenda atasema, n ni ruksa pia kumchukua, sikuumbwa kuteseka dunian, wala sikuumbwa kuumizwa na mapenz.. Niliumbwa niinjoi maisha nifaidi vile mungu alivyoumba kwa ajili yangu, ask her, kama anakupenda u r free, bt utasubiri kidogo nimrudishe nilipomchukua then utaenda kumchukua huko..
Go on boi ask her.
Leo ni top 50Uko vizur jiran yangu.
Kwa sahavu..halaf si lipsi zangu ziligusa shavu yake.. Ni shav yangu iligusa shavu yake..Ulimkiss sehem gani?
Musoma oneJirani yangu huyu wa ukweli na tunaheshimiana sana
Wote tunapanda nyehunge
Listen mpenz wangu, sipo hapa kukukataza vile moyo wako unahitaj, kama moyo wako unaona ni kitu sahihi kwako, kwa penz letu na mimi pia.. Its oky fanya.Mhhhhh.....???!!! unaniruhusu kweli niende kwa Quigley mwenyewe???!!
Oohh.. My gosh.. Jimena ukuje usikie huku kinachoendelea, shululu, briz, patience, Mussolini, bitoz n.kKuna shida gn na wakati tulikuwa wawili kwenu yy akiwa kazin
Jimena muone huyu kivuruge..
Eti ruksa kukiss ila wasione
Oky hny...Siendi baby...tuspend weekend yetu home basi tuandae candlelight dinner yetu kwa ajili ya usiku, usiende huko unapotaka kwenda pls.