Hhmm.. Wewe ulivyo b divorced alikuja kukufarij.. Wewe mtu anakutaka bado tu unataka ujiweke cloze..
Listen cwt, i cnt control u, ila upendo wako kwangu ndio unapaswa ukukontro.. Fanya kile akili yako inaona sahihi..
Ishi.. Kwahyo mimi kumchumu pacha wako imekuwa nongwa.. Mke wangu mbona unataka unidhalilishe hvyo mpenz, its just a normal kiss, ambayo inaonesha namkubal shemeji yangu, anyway t seems nmekukwaza.. Am sorry hny.. Bt haipo kama unavyofikiria. Am nt that type.