Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 19,230
- 68,262
Leo katika Historia:
1971 - Qatar yajitangazia Uhuru wake.
Kumbe 1971 tu?? Ila Qatar kuzuri jamani, yani waarabu wanajua kujengaLeo katika Historia:
1971 - Qatar yajitangazia Uhuru wake.
1987 - Mapinduzi ya Kijeshi yanatokea nchini Burundi, na Meja Pierre Buyoya anaingia madarakani baada ya kumpindua Rais wa Nchi hiyo Jean- Baptiste Bagaza.
1936 - Ben Alli anazaliwa.
Alikuwa ni Rais wa Pili wa Tunisia.
Happy birthday Melberg1977 - Olof Melberg anazaliwa.
Ni mchezaji wa mpira wa miguu wa zamani wa klabu ya Aston Villa na timu ya taifa ya Sweden.
Anashikilia rekodi ya kuwa mchezaji wa kwanza kufunga goli katika uwanja mpya wa Arsenal wa " Emirates " katika mechi ya kimashindano.
Ilikuwa ni Arsenal Vs Aston Villa kwenye mechi ya ufunguzi wa ligi 2006-07.
1948 - Levy Mwanawasa anazaliwa.
Alikiwa ni Rais wa tatu wa Zambia.
Alifariki Dunia mwaka 2008.
Pesa inaongea mpendwa..Kumbe 1971 tu?? Ila Qatar kuzuri jamani, yani waarabu wanajua kujenga
1949 - Jose Pekerman anazaliwa.
Ni kocha wa mpira wa miguu toka nchini Argentina.
Jeshi la watu?? Kwani mengine ni ya nani?Ni siku ya Jeshi la Watu wa Jamhuri ya China.
Poleni na baridiHuku njema sana shululu japo kuna kupatwa kwa baridi sana
1977 - Olof Melberg anazaliwa.
Ni mchezaji wa mpira wa miguu wa zamani wa klabu ya Aston Villa na timu ya taifa ya Sweden.
Anashikilia rekodi ya kuwa mchezaji wa kwanza kufunga goli katika uwanja mpya wa Arsenal wa " Emirates " katika mechi ya kimashindano.
Ilikuwa ni Arsenal Vs Aston Villa kwenye mechi ya ufunguzi wa ligi 2006-07.
Kujichoma moto kijana ndio kulimuondoa madarakani1936 - Ben Alli anazaliwa.
Alikuwa ni Rais wa Pili wa Tunisia.