Makapuku Forum

Makapuku Forum

Maadam wewe utakuwepo nakuhakikishia ulipo nipo...Tena nikiwa na heshima tele..
malizia mchezo hapo ila usiniangushe this time kaka, amaizing nashukuru sana kwa kumsamehe kijana manuu Kila la kheri
Th Name Come this way naogopa hata kuandika chochote nisije nikaharibu tena hapa...Nashukuru kwa kunisamehe nashukuru sana sasa nimwite nani hapa.. Nahrene ili nisiharibu tena baada ya kupata msamaha huu unadhani nimwite nani sasa jamani..
 
eb5e33b386af8bcf96244747519c36e3.jpg

Huyu jamaa hajapita leo?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
......................
 
Hahahaha....... [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Tafuta movie yoyote romantic halafu usikilize wanayoyasema
Wacha nimwite amaizing tu kwa kuanzia naamini kadri mda unavyozidi kwenda majina yatajichagua yenyewe tu..Nimefurahi sana halafu kumbe tuna hoby sawa ya maji ya mende yaani hakuna kulala..Nakushukuru pia kwa jithada zako..
 
Back
Top Bottom