Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 19,230
- 68,262
Shule shuleAfrika bara la kipuuzi
Ht Solar Eclipse wananchi wanaoshukuru serikali
.........
JapanKutoka kwa China kama sikosei
1961 - Carlos Valderrama anazaliwa.
Ni mchezaji wa zamani wa Colombia, anasifika kwa nywele nyingi kama ilivyo kwa Fellaini leo.
Alikuwa anaujua sana!!
Asante sana mkuu mussolinLeo katika Historia:
Sina la ziada, kwa udhamini mnono wa Mimi Mwenyewe tukutane kesho.
Ijumaa Kareem.
1965 - Lenox Lewis anazaliwa.
Ni bondia wa zamani wa uzito wa juu toka nchini Uingereza.
1977 - Frederic Kanoute anazaliwa.
Ni mchezaji wa zamani wa Tottenham na timu ya taifa ya Mali.
Alibadili Uraia wa Ufaransa ili achezee timu ya taifa ya Mali.
Cc sweetiepieWapo wadogo zangu humu
1988 - Javi Martinez anazaliwa.
Ni mchezaji wa Bayern Munich na timu ya taifa ya Spain.
1989 - Alexander Pato anazaliwa.
Ni straika wa zamani wa Ac Milan, Chelsea kwa sasa anacheza Malaga. Pia hucheza timu ya taifa ya Brazil
Jumaa KareemLeo katika Historia:
Sina la ziada, kwa udhamini mnono wa Mimi Mwenyewe tukutane kesho.
Ijumaa Kareem.
Ahsante sana MkuuAsante sana mkuu mussolin
Kwa kukazia zaidi
Tarehe kama ya leo papa John Paul wa pili anasoma Misa yake ya kwanza kwenye ardhi ya Tanzania, viwanja vya jangwani mwaka 1990
Tarehe kama ya leo tajiri na mmiliki wa timu ya Chelsea Roman abromovic anawasili Tanzania kwa ajili ya kupanda mlima kilimanjaro
Alikuja na ndege yake yenye uwezo wa kubeba abiria 200, lakini walikuja watu sita tu, ilitua KIA, ilikuwa mwaka 2009
Ahsante sana Mkuu
Asante sana mkuu mussolin

Say no to watoto wazembe..Umetisha mume