hata mimi naaza hivyo ..mvua ndio inatulisha eti makupuku
Bado tu hujamkubalia manuu??Mekusameheee
Usirudie tenaaa
uko sahihi mkuuhata mimi naaza hivyo ..
Mtumishi usijepiga maombi vyombo vikagoma kushukaKinashuka taratiibu mmmh haya bhana
Maadam wewe utakuwepo nakuhakikishia ulipo nipo...Tena nikiwa na heshima tele..Team ulipo nipo
Utaweza hii ligi
Haya ni maglass ya juisi tuHadi hiiunatumia
baby wangu huyo asikupe tabu kabisa. Wewe umeona nyakati hizi watu wanatongoza kwa barua na maneno ya uongo kibao. Eti usiku silali ila nakuota. Kwani amekuwa mbegu au.utapigwa shauri yako
Naona ni juisi tu, wew shusha lakin ile kitu lazima utapikeMtumishi usijepiga maombi vyombo vikagoma kushuka
Kweli eeeHaya ni maglass ya juisi tu
Bado my wiiifiBado tu hujamkubalia manuu??
Hahahaha.......
Naonja tuHadi hiiunatumia
Ccbaby wangu huyo asikupe tabu kabisa. Wewe umeona nyakati hizi watu wanatongoza kwa barua na maneno ya uongo kibao. Eti usiku silali ila nakuota. Kwani amekuwa mbegu au.
My love miss you sana
Malizaneni bwana nataka kuvaa sare na Nahrene na JimenaBado my wiiifi
juisi gani inatoa harufu ya eagle? itakuwa kuna namna maana watumishi wa siku hizi bila ku boost kichwa sala haipandi kabisa .....Haya ni maglass ya juisi tu
Hahahahahaaa anatongoza kibabu kweli. Inabid uumpe somo.baby wangu huyo asikupe tabu kabisa. Wewe umeona nyakati hizi watu wanatongoza kwa barua na maneno ya uongo kibao. Eti usiku silali ila nakuota. Kwani amekuwa mbegu au.
My love miss you sana