Bitoz
JF-Expert Member
- Aug 27, 2015
- 30,823
- 126,632
Where is Mustafa Hassanali?Jack the power, mchezaji ambae kipaji chake kinaisha kwa injury.![]()
.......
Where is Mustafa Hassanali?Jack the power, mchezaji ambae kipaji chake kinaisha kwa injury.![]()
Waizuie na Google tusizione
Sijui zinawauma nini
Au utawala wa Makufuli umewapndolea nyege
![]()
![]()
![]()
.........
Maana Jana tume ya uchaguzi ilikuwa inajiaandaa kumtangaza mpinzani,Gabon
Bongo nashindwa uchaguzi kwa mbinu zote....Gap kubwa
![]()
![]()
![]()
.......
Nshakua mwenyeji kiainaPameishakuzoea sasa huko
Picha zitasambaa km kawa![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Hiii nchi imejaa unafiki cjawahi
Kuona, kipindi cha bunge ni mavuno kwa machangudoa,
Hakuna kiongozi asiye na nyumba ndogo wanahonga hadi nyumba za serikali usiku na mchana wanajitokeza kuzui picha ya uchi.
Wana maanisha kuwa kula usiku halali mchana haramu...shame...
Hapo sawa, maana nilidhani na wewe ni fataki![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Ni character yangu hapa
Huwa naji identify kwa hicho kipende hicho, thus y binamu alipokuwa akiaga aligusia hicho.
But in reality wala sina mapepe
Tena nachukia sana ufataki u can not bilivu
Huu sasa uchocheziLkn jamaa kafaidi sana mahaba ya dadangu jj hadi niliona wivu![]()
![]()
![]()
![]()

Aweke picha tuone maana hamna namna sasaweka picha kwa hisani ya mussolin5
Bongo wapi?Hivi kule kwa Bongo vp, walifuta matokeo ama mpinzani kuchukua
WaogaWaizuie na Google tusizione
Sijui zinawauma nini
Au utawala wa Makufuli umewapndolea nyege
![]()
![]()
![]()
.........
Kwa hiyo Kuna kesiHuu sasa uchochezi![]()
![]()
![]()
Na Wasauzi.....Afrika kiongozi aliye madarakani hakubali kushindwa nahisi kwavile wamezaliwa kwenye Nyumba za udongo hivyo vichwa tope tupuMaana Jana tume ya uchaguzi ilikuwa inajiaandaa kumtangaza mpinzani,
Kwa Africa waghana wapo vizuri angalau
GabonBongo wapi?
Point sanaNa Wasauzi.....Afrika kiongozi aliye madarakani hakubali kushindwa nahisi kwavile wamezaliwa mwenye Nyumba za udongo hivyo vichwa tope tupu
.....

Kumbuka Rais akistaafu anavuta mkwanja mrefu halafu anahudumiwa maisha yake yote pamoja na mkewe lakini wanataka kufia Ikulu.....kuiba wanaiba hawaridhikiPoint sana![]()
![]()
![]()
![]()
Si mbaya.. Hatar zaid ni zile za blackPia kuna Colgate zenye Red aisee nilishazitumia sijui ni hatari??