Ok si unajua alivyotokea tu na akasema nimeshakuja nilipanic mbaya nikashindwa kujua ni dada angu ama ni nani..Usichoke kamanda tuendelee kupambana hope ataelewa tu..umeniangusha ndugu amaizing alikuwa anaelekea vizuri kabisa sasa ulikosea kumuita dada. Dada maana yake ndugu. Ngoja tutajaribu baadae. Don't panic just relax
pole sana aisee, huku hakuna baridi sema inatuongezea matope tu barabaraniHuku nilipo imeshakata lakini hiyo baridi sasa, naisikia mpaka kwenye mifupa
Ya kawaida tuKwani huwa wanafanya mambo gani???
We waonaje chali angu!Hivi nami si ni Kapuku pia?
#JustAsking.
Sasa c umalizie tu jaman
hizo mishemishe zinawafanya wawaze kuna umwagiliaji tu mvua no needWanajisahau sababu ya mishemishe za town nini!
tisha mbaya kapuku sisi. Tupo kwenye ubora wetu hakika kapuku oyeeeeemakapuku naona mmetisha bandera inapepea mbaya nguzo ya chuma ,kamba mnyororo naona hata kije kimbunga bendera haitoanguka sio?
Polenipole sana aisee, huku hakuna baridi sema inatuongezea matope tu barabarani
Nahrene si unajua nilipanic ulishawai kumwita poliiiiis kiutani ukijua hatosikia halafu ghafla akasikia akawa anakufuata anasema niambie umeniitia nini...Ndiyo kilichonitokea hapa..Ila wacha nipambane na nifikishie ujumbe kuwa naomba radhi kwa yote na naomba nafasi ingine hakii sintomwita dada tena..Kwani huyo dada yako??
Ndo uongee nae sasa akueleweNahrene si unajua nilanic ulishawai kumwita poliiiiis kiutani ukijua hatosikia halafu ghafla akasikia akawa anakufuata anasema niambie umeniitia nini...Ndiyo kilichonitokea hapa..Ila wacha nipambane na nifikishie ujumbe kuwa naomba radhi kwa yote na naomba nafasi ingine hakii sintomwita dada tena..
sema nini usikate tamaa kabisa. Najua baadae amaizing ataelewa tu wala usiwe na hofuOk si unajua alivyotokea tu na akasema nimeshakuja nilipanic mbaya nikashindwa kujua ni dada angu ama ni nani..Usichoke kamanda tuendelee kupambana hope ataelewa tu..
asante sana. Sio mchezo hukuPoleni
Mvua zisiponyesha ukumbuke na vyanzo vya maji vitakauka mkuu, bila mvua no maisha tzhizo mishemishe zinawafanya wawaze kuna umwagiliaji tu mvua no need
πππππ
makapuku naona mmetisha bandera inapepea mbaya nguzo ya chuma ,kamba mnyororo naona hata kije kimbunga bendera haitoanguka sio?
yeah,sure mkuu,misimu yote iheshimiweMvua zisiponyesha ukumbuke na vyanzo vya maji vitakauka mkuu, bila mvua no maisha tz