Makapuku Forum

Ht mimi nina majukumu sana tu sema nahisi nina deni km mwanzilishi wa Ukapuku
................
Pamoja na yote bado unajukumu la kusimamia huu uzi, ongeza ubunifu, manjonjo, na pia nafurahi kuwa ulipoona wengine kama tunaadimika ulikava pengo na kulisongesha, jepo una vijembe havina madhara maadam tumefahamiana na shabaha yetu ni kuudumisha mshikamano na kuufanya uzi huu uwe na manufaa.
Kf ni zaidi ya chitchat kwani sasa kuna mambo mengi ya kuelimisha na kuburudisha...mkuu jitahidi usikate tamaaa.
Usisahau kuwa tofauti na changamoto ni sehemu ya kuboresha umoja wetu.
Jipe moyo
Simama kiume
Ukijua kaz hii yakuhusu
 
Shida yako huwa unageuka na kutuona mazoba
Ukiamua kuja ueleweke
Na uwe na msimamo
Kf sio ya vilazer km mnavyodhani
Bali ni kijiwe cha wajanja kuondoa stress na kurefrsh mind
Tuna future tunajielewa sana
Na tuko juu kushinda mnavyofikiri
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…