Makapuku Forum

Ngoja nikwambie kitu......kuna Kapuku uchwara baada ya maandamano yetu kupamba moto akashauei NIMWAMBIE MOD AIFUNGE KF eti tutaonekana ni wafanya fujo nikamwambia BIG NO thread nitaiboresha na itakuja kuweka rekodi JF (nilihisi katumwa) bila kutumia akili thread ingefungwa lkn kwa kushirikiana na Jimena na Th Name nikawahakikishia nitaisimamia kidete na thread itabamba(km ilivyotokea)
Tumepitia changamoto nyingi lakini nilisimama kidete now 100 k reply & 1m views is around the corner
I'll miss you
...................
 
Jamn huyu kaka afunguke labda kuna kitu nyuma ya pazia...tuko tayari kuwa naye bega kwa bega naye hata kule pm.
Naunga dots tangu last week kuna namna alikuwa akopost akiaina na leo ndo kamalizia hivi
 
Naruhusiwa kubeba mikoba ya Carrenza? Ila in a serious note. Mambo chokonozi ya kilimwengu na sayansi lakini kwa mvuto sana. Tulipe jukwaa Joho la usomi kidogo. Mnasemaje waungwana? Bitoz, Jimena, Werrason, Mussolin (the dictator) na wengineo mnasemaje?

Naweza kuanza kesho na "beginning of time?"
 
Karibu na ruksa kabisa kapuku
 
Yes you can.
Bila kipingamizi nakukaribisha kwa moyo mkunjufu kabisa uje kutupa hayo mambo. Nadhani itakuwa moja kati ya segment matata sana. Kuanzia saa moja usiku nadhani itakuwa ni muda muafaka wa wewe kuja kutiririka.
 
Mh!!!....


Thanks Bro.
Nakutakia Kila la Kheri.
 
It's OK.......ilimradi iwe ni TOP TEN na kila siku na ishu mpya
Karibu
...........
 
Hata isipokuwa Top ten aweke tu hiyo segment yake ya sayansi and maybe hidden object kwa style yake atakayoona itapendeza ili mradi somo lifike.

Atapatikana mtu mwingine pia ambae ataleta top 10 kama top 10
Ndo niliyomaanisha......TOP TEN ibaki kuwa top ten,mtu anaweza kubuni segment yoyote na ikabamba lkn yy kazungumzia "mikoba ya yule MTU" hivyo lugha gongana

Ni jambo zuri
...........................
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…