Makapuku Forum

Hahaha
I'll miss u mkuu
Mambo ya babu mkombe [emoji3]

Take care of her

Hahaha by the way i was calling her swt p , then na wew una muita kifupi
Salute mzazi
 
Asante sana, tutakumbuka sana uwepo wako hapa kapuku

Na tutakumis sana sana

Kila la heri katika maisha ya hapa duniani
 
U wll alwayz b in our heart.[emoji24] [emoji24]
 
Yes
Nilijua briz atakuepo, alipenda sana hii kitu, but any one aiendeleze
Ni mali ya kapuku ila mimi ni muanzilishi tuu
Mbio za vijiti hzi
Briz yupo offline week ya pili sasa
Km asipopatikana mjanja wa kuendeleza nitajaribu mimi
Km mzembe fulani niliyeendeleza segment yake
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
............
 
Brother mbona hii aga yako siielewi-elewi hivi?
Unaenda wapi?
Watu wengi wamekuwa wakija na kutoka kimya kimya, ila mimi hapa palikuwa kama hom, now mambo ya JF naachana nayo tuu, na JF kwangu ilikuwa ndo hii, so nkaona ni bora ni wape watu proper farewell

Naenda wap!? Aaa any where around the world, ni chill na nini

In short Szczesny ana enda kupimzika naye
Ila ntakumiss ile kuja yko ya mara moja moja
 
Pia ww ni miongoni mwa wajanja mliosababisha thread ifuatiliwe hadi na Vingongo
Kuondoka kwako ni changamoto
Mungu akubariki
.......................,..
Thanks sana mkuu thread hii ime nisaidia sana pia
Nme elimika
Nime cheka
Nime enjoy
Nme pata updates kibao
Yaliyo anza muyaendeleze watu wapya wana kuja kila day hapa

Kama barca ana toka mtu ana ingia mtu.
Mungu akubariki mkuu
 

Daah! basi ndugu yangu nikutakie kila la kheri,
Binafsi ntakukumbuka sana.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…